April 15, 2020

UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa kwa sasa ni wakati wa kila mmoja kuchukua tahadhari kuhusu Virusi vya Corona kuwa janga la dunia.

Akizungumza na Saleh Jembe, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar, Zuber Katwila amesema kuwa kwa sasa ni jukumu la kila mmoja kuchukua tahadhari ili kujilinda na Virusi vya Corona.

"Ni muhimu kila mmoja kuchukua tahadhari ya Virusi vya Corona, kanuni za afya ambazo zinatolewa zinapaswa zifuatwe kwani Virusi vya Corona vipo na afya ni muhimu kuuata," amesema Katwila.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic