April 15, 2020


HIKI hapa kikosi cha Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, amtaja muuaji wao aliyewatungua Machi 8 Uwanja wa Taifa:-

1. Manula wa Simba

2.Kapombe wa Simba

3.Job wa Mtibwa Sugar

4. Tshabalala wa Simba

5. Mwamnyeto wa Coastal Union

6. Sure Boy wa Azam FC

7. Tshishimbi wa Yanga

8. Chama wa Simba

9. Morrison wa Yanga

10. Bocco wa Simba

11. Kagere wa Simba
  

1 COMMENTS:

  1. Huu ushabiki wa blogu hii umevuka mpaka.Yaani mmeona aliyeifunga Simba tu?Unamfunga Simba huku umezidiwa pointi 20 inasaidia nini?Unawakumbuka wachezaji wa Watford walioifunga Liverpool?Ishi ni kwamba inferiority complex inawasumbua.Muuaji wa Simba muuaji wa Simba mpaka lini?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic