May 6, 2020

HESABU za Yanga iwapo zitakubali kuwapa nyota wale ambao inaelezwa kuwa wapo kwenye mpango wa kusajili msimu ujao basi hili jeshi la Yanga litakuwa namna hii;-

 Metacha Mnata

Juma Abdul

Mussa Mohamed kutoka Nkana FC


Lamine Moro

Yassin Mustapha wa Polisi Tanzania


Bernard Morrison


Ally Niyonzima kutoka Rayon Sport 

Haruna Niyonzima


Tuisila Kisinda


Michael Sarpong

Heritier Makambo anakipiga Horoya AC

3 COMMENTS:

  1. SAFI SANA YANGA ILA UNGEONDOA JUMA ABDULI,MNATA NA HUYO YASINI MUSTAFA VIBAKIE VYUMA VITUPU,WAJINGA NYIE MNA KAZI YAKUDANGANYA MAZUZU WENZENU TU.

    ReplyDelete
  2. Kwa hiyo yanga watakuwa na wachezaji wa kigeni karibia 13 au ndo wale waandishi wasiotaka hata kuruhusu ubongo wao at least ku digest kile alichoandika

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic