June 27, 2020

4 COMMENTS:

  1. Hiyo gepu ya magoli ni 40 na pointi 18 na mchezo mmoja mkononi. Bado kuna wajinga wanalinganisha. Itabidi SIMBA waiombe TFF wakatwe pointi 15 msimu ujao ili ligi iwe na ushindani. Ni aibu kuchukua ubingwa huku bado michezo 7.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wanaendelea kusajili wachezaji kupitia magazeti na mitandao na hadi sasa wameshafikisha wachezaji 16 na juzi kati wamemuita chemba Papa Molinge.

      Delete
  2. Ukichanganya magoli 13 Yanga ,Azam 18,Namungo 11,Coastal Union 6,Polisi Tanzania 3 na JKT 2 ndio unapata magoli 53.Ambayo ndio magoli 53 aliyonayo Simba. Goal difference. halafu kuna wajinga wanalinganisha.

    ReplyDelete
  3. Wanahangaika na Kotei wakifikiri hiyo itawaumiza Simba

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic