Haya magazeti ndiyo "yanayo wazuga" mashabiki wa Yanga wakidhani wana timu nzuri na kujimwambafai halafu wakienda uwanjani wanaishia kupata kipigo na kuanza kulaumulaumu ukweli wachezaji wengi hawana hadhi ya kuchezea hata kwa kikosi cha kwanza kwa timu ya Mtibwa....ni wa kawaida mno watu wamewaleta kwa 10% wakapata dili la kucheza timu kubwa kama Yanga

ReplyDeleteNimemshangaa yule mchezaji Yikpe alivyo mzito na kurusha rusha miguu yake mirefu
ReplyDelete