July 24, 2020

TIMU ya Simba leo Julai 24 imeifuata Polisi Tanzania ya Moshi kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara  utakaopigwa Julai 26.

Seleman Matola ambaye ni Kocha Msaidizi wa kikosi hicho alikinoa kikosi hicho kabla ya kuibukia Simba.

Mchezo wa Kwanza uliochezwa Uwanja wa Taifa, Simba ilishinda mabao 2-1.

Bao la ushindi lilifungwa na Ibrahim Ajibu dakika za lala salama na kuipa pointi tatu Simba.

Timu zote mbili zina uhakika wa kubaki ndani ya Ligi, Simba ni Mabingwa wana pointi 85 wakiwa nafasi ya Kwanza na Polisi Tanzania ipo nafasi ya 5 na pointi 55 zote zimecheza mechi 37.

1 COMMENTS:

  1. Ninaomba Matola kama kocha mzawa aawatafutie wachezaji wa Simba ambao wamekuwa hawapati nafasi ya kucheza Simba ili kulinda kipaji cha wachezaji. Tuangalia Ajib alitokea Yanga alikokuwa anafanya vizuri. Lakini Rashid Juma bado ni mdogo na alitumika vizuri kama sub wa Okwi wakati wa Aussems. Sasa amepotea kabisa wakati huu wa Sven na Matola

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic