BEKI LIPULI ASAINI DILI LA MIAKA MIWILI KMC DAVID Mwasa ambaye ni beki wa kati, leo Agosti 19 ametambulishwa ndani ya Klabu ya KMC kuwa mchezaji wao mpya kwa ajili ya msimu wa 2020/21.Nyota huyo amesaini dili la miaka miwili ndani ya KMC akitokea Klabu ya Lipuli FC.Lipuli imeshuka daraa hivyo msimu wa 2020/21 itashiriki Ligi Daraja la Kwanza.
0 COMMENTS:
Post a Comment