August 17, 2020

 

TUNOMBE Mukoko mshambuliaji wa zamani wa AS Vita ya Congo amemalizana na Yanga kwa dili la miaka miwili.


Nyota huyo anaungana na kiungo mwenzake Tuisila Kisinda ambaye naye alikuwa  anakipiga ndani ya AS Vita ya Congo.


Mchora ramani kwa nyota hao kuibukia ndani ya Klabu ya Yanga ni Kocha Mkuu wa AS Vita, Frolent Ibenge ambaye alikuwa akiwapa sapoti mabosi wa Yanga waliowakilisha na Injinia Hersi Said kutoka Kampuni ya GSM ambao ni wadhamini wa Yanga.

19 COMMENTS:

  1. Ibenge aliingizwa chaka na yanga kipindi kile alipopokea kipigo toka kwa mnyama yanga wakamwambia simba wamepuliza dawa nae kaamini sasa ndio analipa fadhila. Ana hasira na simba ilimtupa nje ya mashindano hiyo

    ReplyDelete
  2. Replies
    1. Pale As vita kuna magarasa kibao hao mliowasajili ni mojawapo ya hao magarasa mchezaji wa kiwango As vita Yanga(GSM) hawawezi kumsajili watafilisika ndio mana Simba walimuacha Zana Coulibary wao wakamsajili. Sasa ngoja ligi ianze alafu tuone hayo magarasa yenu

      Delete
  3. So unaona hata picha kawweka ilo fichwa hili wacheZa Vigoma wa Manara na H pope waanze kusema usajili si harari mkataba feki then Kamati ya Hadhi na ,,,,,,kaeni halafu Ndimbo na Kidau andikeni .

    ReplyDelete
  4. Intajulikan tuuuu ngoj msimu ufikeeee

    ReplyDelete
  5. Mikia wanasubiri wachezaji wakifika Tanzania wawarubuni, kweli uungwana vitendo, ukizoea vya kunyonga vyakuchinja huviwezi...

    ReplyDelete
    Replies
    1. Manyani washasahu ya Mbuyu Twite

      Delete
  6. Yanga mumsajili Tonombe bila Hersi kupiga picha akiwa nao misifa??? Yanga endeleeni kudanganywa nanyi kama mazuzu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. usiongee bila kuwa na uthibitisho. jana alituma picha akiwa nao wote wawili sasa wewe endelea kubwatuka tuu kama yule msemaji wenu

      Delete
  7. Utopolo mnafurahisha sana, mbasajili kisa jina As vital. Yetu macho msimu uliyopita ilikuwa vivyo hivyo mkadebweda *usajili bila kocha Ni sawa ba gr bila usukani*

    ReplyDelete
  8. GSM wame/na fanikiwa kweli kywaingiza chaka

    ReplyDelete
  9. We jamaa kweli kanjanja tonombe mshambuliaji kweli? Fuatilia vizuri kabla ya kuandika.

    ReplyDelete
  10. Hongereni watani Yanga imara ndo Simba imara, lakini tuombe wawe kwenye ubora wao ndo tutapata upinzani lakini hao jamaa wakifeli bas Yanga nzima imefeli, kwa sababu Simba tayari wanawachezaji mbadala hata kama hao walisajiliwa wapya wakifeli basi waanga wanashika dimba na kazi inaendelea. Ongereni tena lakini wapige kazi ili tuwe na wapinzani maana kwa sasa tuna watani

    ReplyDelete
  11. Pole mikia mmewashindwa mkakimbilia Bwalya ,Bwalya mwingine muuza maji alichemka huyu hapa yetu macho

    ReplyDelete
    Replies
    1. hamna wachezaji hapo mchezaji atoke vita aje kucheza Yanga ambao haishiriki michuano yoyote ya kimataifa hayo ni magarasa ndio mana simba hawajajishugulisha nao, Morrison ameshawahi kucheza As Vita, Orlando Pirates tunashangaa Yanga kuona kama wamewasajili akina Messi, hatutaki tu migogoro ianze tarhe 18 oktoba manake kila mwaka mkifanya usajili kelele zinakuwa nyingi lkn baadae kimya

      Delete
  12. Nawewe unaye uliza picha ya Tonombo inaonekana hata shule ukupita

    ReplyDelete
  13. H at a I'll Team ya msimu ulopita ilikuwa nzuri,shida mtani ukiona unakaribia mnaanza vikao Bar,Kama vya Rukwa na mbeleko zinaanza

    ReplyDelete
  14. H at a I'll Team ya msimu ulopita ilikuwa nzuri,shida mtani ukiona unakaribia mnaanza vikao Bar,Kama vya Rukwa na mbeleko zinaanza

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic