August 18, 2020


HIZI hapa mechi tano za mwanzo kwa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba msimu wa 2020/21:-

  Ihefu FC vs Simba SC, Septemba 6, 2020, Uwanja wa Sokoine.

 Mtibwa Sugar vs Simba SC,Septemba 12, 2020, Uwanja wa Jamhuri-Morogoro.


 Simba vs Biashara United, Septemba 20, 2020, Uwanja wa Mkapa, Dar.

 Simba  v Gwambina FC, Septemba 26, 2020, Uwanja wa Mkapa, Dar.

 JKT Tanzania vs Simba, Oktoba 4, 2020, Uwanja wa Jamhuri-Dodoma.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic