August 22, 2020

 


Wachezaji wa Yanga wanaoendelea na mazoezi Uwanja wa Chuo cha Sheria kwa ajili ya maandalizi ya Ligi Kuu Bara pamoja na wiki ya Wananchi ambayo kilele chake ni Agosti 30, Uwanja wa Mkapa:-

Lamine Moro 


Said Makapu


Abdulaziz Makame


Ramadhan Kabwili 


Feisal Salum 


Abdallah Shaibu ingizo jipya kutoka Serbia.


Juma Mahadhi 


Kibwana Shomari ingizo jipya kutoka Mtibwa Sugar.


Farid Mussa ingizo jipya kutoka  CD Tenerife.


Ditram Nchimbi 


Deus Kaseke 


Paul Godfrey 


Zawad Mauya ingizo jipya kutoka Kagera Sugar.


Faroukh Shikalo 


Wazir Junior ingizo jipya kutoka Mbao FC.


Metacha Mnata 


Mustapha Yassin ingizo jipya kutoka Polisi Tanzania. 


Bakari Mwamnyeto ingizo jipya kutoka Coastal Union. 

1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic