August 31, 2020

 


YACOUBA Sogne mshambuliaji wa Yanga amewasili  Tanzania leo Agosti 31 akitokea nchini Burkina Faso.


Sogne anaungana na wachezaji wenzake kambini jumla kwa ajili ya maandalizi ya Ligi Kuu Bara inayotarajiwa kuanza Septemba 6.


Yanga itaanza na mchezo dhidi ya Tanzania Prisons Septemba 6, Uwanja wa Mkapa majira ya saa 1:00 usiku.


Sogne ambaye amesaini dili la miaka miwili amesema kuwa anafurahi kuwa sehemu ya timu na anafurahi kwa mapokezi.

13 COMMENTS:

  1. Mashabikitunabimani na usajili. Kikubwa viongozi tuimbisheni mapema kama kutakuwepo na bakuli kwa ajili ya mishahara ili tusifeli wakaondoka wazuri waliosajiliwa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Bora bakuri kuliko timu yetu iuzwe kama walivyofanya wenzetu mbaya zaidi wamekopwa. Jamaa amewapata bonge la kiingilio mikia day ili wapigie wenyewe. Huyu jamaa si mchezo amewagundua Mikia wote wanategemea akili za Manara

      Delete
    2. AnonymousAugust 31, 2020 at 3:58 PM Usijali kwani hata harusi ya mama yako tuliichangia sembuse mpira!

      Delete
    3. Acha kutoa maneno yasiyo na staha kwa mchangiaji mwenzio.Inaonesha wewe ni mtu wa aina gani,nina wasiwasi haujalelewa katika maadili mema ndo maana hujui thamani ya mama wa mwenzio

      Delete
    4. Mi sijawahi kuona mtu aliyeuziwa timu anamilki asilimia chache(49) alafu walioomuzia wana asilimia nyingi(51) muda mwingine tukiwa tunawaita manyani msikasirike kwa sababu hata upeo wenu wa kufikiri wengi wenu ni mdogo, alafu kuna watu wanafikiri simba inashabikiwa na watu wa kawaida tu, simba inashabikiwa na watu wenye vyeo vikubwa kwenye nchi hii na ushawishi mkubwa so kama unafikiri simba inaweza kukodishwa kama alivyotaka kufanya yule mhindi wenu(Manji) pole sana kaka.

      Delete
    5. Mi sijawahi kuona mtu aliyeuziwa timu anamilki asilimia chache(49) alafu walioomuzia wana asilimia nyingi(51)..mwisho wa kunukuu....

      kwa hiyo unamaanisha Simba imeuzwa au!!!!!

      Delete
  2. Ok hivi niwafundishe, wanawake siku zote wanaongelea Wanaumme,Wananchi ni Wanaumme hata hizi makala Ni zile zile Thimba Spots lkn Wanalengwa Wananchi So Mr Salehe kitachojiri Ni kujaribu kupanga list ya Young African ,lkn zingatia sir so Namungo au Simba ( Prime Ministers and Co Teams ,hapa Ni mke Mdogo na mkubwa inapendeza .

    ReplyDelete
  3. Kila zuri la Mwananchi lazima Wanawake/Mikia waanze kukosoa INAPENDEZA na zingatia bado mnaandaa mikakati ya nje ya Uwanja

    ReplyDelete
    Replies
    1. Siku zote kitu mlichozoea kukifanya kwenye mpira mnahisi wenzenu huwa wanakifanya, hivi ukuiangalia simba ni timu ambayo ndio angalau imepata mafanikio kwenye michuano ya kimataiofa kwa sababu kule hakuna akina Malinzi na Ndolanaga lakini waliozoea hiyo michezo ya mikakati ya nje ya uwanja ambao wanajiita mabingwa wa historia angalia rekodi zao kimataifa hapao ndipo utaamini yale maneno ya Luc Eymael (MANYANI FC)

      Delete
  4. Mi nafikiri nyie ndo wanawake , siku zote mwanamke huwa na shobo kama mnvyowashobokea wame zenu wengine As vita. Mpaka mmeenda kuwabembeleza wawape wachezaji ili mpunguze idadi ya magoli , isngekuwa simba hao As vita mngekuwa mnawasikia kwenye bomba tu wehu nyinyi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Msipoteze muda na hao watu wasiyostarabika hawajuwi kuwa mpira ni starehe mpaka wanafikia kumdhalilisha binadamu mwenzao kisa kavaa jezi ya Simba! Kweli aliyewaita NYANI NA MBWA hakukosea.

      Delete
    2. Eeh kwani ili ni tukio la kwanza kwenye utani wa jadi? Simba wamekuwa wakifanya Yanga wamefanya. Mnachotafuta ni kufanya kutia doa siku ya mwananchi kwa kuwa mnajua ilifana kuliko siku ya mikia. Yaani mnashangaza sana.

      Delete
  5. Jamani nguo nyekundu huwa Ni Bei rahisi inawezekana yule jamaa Ni Yanga alishindwa kununuajezi lkn ukisoma Biblia Inasema vazi la Harusi na adhabu ya asiye vaa vazi Lile akawemo harusini ni kutupwa gizani na mwisho ni kilio na kusaga meno

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic