Nyota huyo ambaye ni kiraka amesaini dili la mwaka mmoja ndani ya Klabu ya Namungo.
Msimu wa 2019/20 alikuwa chaguo la kwanza la aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga, Luc Eymael ambaye alifutwa kazi Julai 27 kutokana na kutoa kauli zilikuwa na viashiria vya ubaguzi wa rangi.
Jaffary amesema kuwa kazi yake ni mpira hana tatizo atapambana kufanya vizuri.
Nakutakia kila la kheri jaffari
ReplyDelete