August 13, 2020

5 COMMENTS:

  1. Hapo tena ni kwenda kujikwamisha wakati TFF itapopeleka ushahidi na vielelezo

    ReplyDelete
  2. T simba simba si tff

    ReplyDelete
  3. Hawana akili hao kandambili aka vyura aka GONGOWAZI

    ReplyDelete
  4. Wanajipeleka wenyewe kiianzini, yukowapi hapo Sinzo wa kuwakontrol

    ReplyDelete
  5. Mimi nadhani ni haki yao kufanya hivyo kwa vile hawakuridhika na hukumu iliyotolewa kwani ina utata mtupu.Turudi nyuma kidogo .Ikumbukwe Madai ya morison kwa tff ni kuwa saini iliyokuwa kwenye mkataba sio yake imegushiwa na hukumu ilyotoka haikugusia hapo wao tff na kamati yao walikuwa wapeleke mkataba kwa wataalam wa Polisi kutambua uhalali wa saini kama kweli ni ya Morison au laa na suala la pili hapa kwa nini alipokea malipo ya kurefusha mkataba wake kama saini sio yake? halafu pia aliandika ujumbe kuomba kusitisha mkataba wake kwa madai kapata timu nje ya Nchi anataka aende huko halafu kasini Simba mwanzo aliikana hiyo timu kumbe Simba iko nje ya Nchi?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic