August 4, 2020


MSIMU mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara unatarajiwa kuanza rasmi Septemba 6, 2020.


Utakuwa ni msimu mpya wa mwaka 2020/21 kwa timu kupambania taji la Ligi Kuu Tanzania Bara lililo mikononi mwa Simba ambao walitwaa taji hilo mara tatu mfululizo.  

Mchezo wa ufunguzi wa utapigwa Agosti 29,2020 ambao ni wa Ngao ya Jamii.

Utamkutanisha bingwa wa ligi, Simba na mshindi wa pili wa Kombe la Shirikisho ambaye ni Namungo.

2 COMMENTS:

  1. Duh! Hapa Ni bandika bandua, Simba tusilale tujiandae kutwaa makombe zaidi

    ReplyDelete
  2. Msimu utaanza na utaikuta Yanga ndiyo wameshasajili kikosi kizima huku na kocha hawana. Akipatikana kocha ataanza pre-season kwa kuchelewa kama ilivyokuwa kwa Mwinyi Zahera msimu uliopita alikuwa zake Ufaransa wakati timu nyingine zikiwa na makocha wakijifua kuanza ligi.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic