August 19, 2020

7 COMMENTS:

  1. Nyie endeleen kukusanya,kamavile mchuuzi wa machungwa kule bonde muheza alafu akifika mjini anataka ayauze kwa bei juu ilihali amechuuza kwa wakulima tena kwakuwaonea nakuwalaghai,poleni sana YANGA tusubiri muda utaongea huwa haudanganyi hata kidogo.aliyesajili na aliyekusanya itajulikana tu.wako wapi akina balinya,akina molinga akina makambo na wachezaji kibao wazuri mnaowapa mikataba mifupi kwasababu ya umaskini na kutokua makini katika suala la usajili,mfano juma balinya alikuja yanga akiwa ndio high score lakin kilichomkuta yanga na wengine wengi sana,acha tusubiri muda bhana maneno mengi sio mazuri kabisa.POVU RUKSAAaaaaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Pole sana!! Naona unaweweseka hovyo!!!!

      Delete
    2. Acha ngebe wewe mikia tu,kwani nyie miaka ya nyuma hamkuwa na Mavugo ambaye kwao huko alikuwa top score lakini katua msimbazi na hakufanya lolote,mpira wa miguu unachangamoto nyingi bro,sio hapa bongo tu ni mpaka ulaya,hata Torres alipokwenda chelsie umeona yaliyomkuta?lakini huko liverpool alikuwa anakiwasha kinoma,,wewe endelea kuongea lkn mda ukifika aibu ya maneno yako utaipata..Yanga weshajua walijikwaa wapi,

      Delete
  2. Yanga Donda la Morrisoni bado lingali bichi linauma bado,wacha wajiliwaze na habari za usajili wa majina ila hata wamlete Nymer wa PSG bila yakuwa na mipango madhubuti ya kuiendesha Yanga hasa kiuchumi ni vigumu kuijenga Yanga imara yenye kuwatunza wachezaji kutokana na thamani yao.Hao wachezaji wataishia simba tu au ataondoka zao.

    ReplyDelete
  3. The time will tell.lets wait and see.

    ReplyDelete
  4. The time will tell.lets wait and see.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic