August 19, 2020

 

PSG usiku wa kuamkia leo imefanikiwa kushinda kwa mabao 3-0 dhidi ya Leipzig mjini Lisbon. 

Mchezo huo wa hatua ya nusu fainali ulikuwa na ushindani mkubwa na mwisho wa siku PSG wakaibuka wababe na kutinga mazima hatua ya fainali.


Kipindi cha Kwanza PSG ilitupia mabao mawili ambapo bao la kwanza lilipachikwa na Marquinhos dakika ya 13 na Di Maria alifunga bao la pili dakika ya 42 na bao la tatu na la mwisho lilipachikwa na Benatti dakika ya 56.


Fainali ya mchezo huo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya inatarajiwa kuchezwa Jumapili, Agosti 23 na mshindi kati ya mchezo wa Bayern Munich na Lyon.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic