August 5, 2020

13 COMMENTS:

  1. Kwani GSM ndiyo uongozi wa Yanga kwenye Usajili? Sasa inakuwaje kampuni ya madini kushindana na klabu ya mpira wa miguu? Kwani Simba walisema wanashindana na GSM au Yanga ndiyo inacheza na Simba halafu wanapata 4G vilevile?

    ReplyDelete
  2. Umafia upi ambao Yanga waneifanyia Simba? Kwani usajili wao unaihusu nini Club nyingine? Kama kila kitu kinachofanywa na Yanga kinalinganishwa na Simba basi bado ipo safari ndefu ili kuifikia Simba maana kisema ukweli kwa Sasa Simba ipo next level. Ina Makombe, Wachezaji wazuri wenye viwango vya Kimataifa, angalau ina viwanja vyake vya mazoezi,uongozi uliotulia, Support kubwa ya mashabiki nk nk. Msipoteze Muda wenu kulinganisha.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Maskini akipata siku zote hapendi linganishwa. Mafanikio uloyapata leo na wananchi pia yapo. Tunaenda msimu mpya wacha yaongeleke yote hakuna wa kumzuia mwenzie kila mtu anahaki ya kuongea bwana mikia

      Delete
    2. We utakuwa linyani likuu si kwa kubweka hivyo

      Delete
    3. Kwani nyani hana mkia?unajitekenya na kucheka mwenyewe wakati umebeba mkia.Tafakari zile 4G.

      Delete
  3. Magazeti uchwara. Sasa hapo umafia unaosemwa ni upi. Kwani gsm wanadajili kwa kumkomoa simba? Basi watakaa sana maana wachezaji ni wengi na uwezo wa kusajili ni 30 tuu

    ReplyDelete
  4. muulizeni msemaji wenu Haji Manara alisema na kuapa kua kabla ya August watu wa Yanga watapata mishituko ya moyo na kua watayarishe sehemu za kuwatibia kule Muhimbili na leo ni 5 August 2020 !!!!! hatujaona kitu cha kutupa mishituko ya moyo !!
    msiwe mnaongea kama miungu mtu na kuahidi msichokijua !!

    ReplyDelete
  5. mbona ninyi mlitoa ahadi nyiiingi lakini hakuna hata moja iliyotekelezwa, kama ni wachezaji Yanga mnahaki ya kusajili maana ukweli unajulikana lakini ni kazi ya ziada maana kikosi sio kwa makaratasi, oneni akina yipe, balinya, sibomana, molinga, na wengne wengi, hao wote wanakuja kwenye timu mpya na falsafa mpya kaeni kimya kwanza halafu wachezaji ni wa kawaida sana

    ReplyDelete
  6. Hamjui mpira hamna hela mnamaliza vibado vya touchi zenu, utumbo mwingi ukiashiri akili ndogo zenu

    ReplyDelete
  7. Wacha waangaike back to back ten season

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic