August 8, 2020

10 COMMENTS:

  1. Haya ni zaidi ya maigizo baina ya timu zetu mbili kubwa hapa nchini. Kama ni kweli shauri bado halijaamuliwa, Simba wamepata wapi jeuri na ujasiri wa kumsaininsha Morrison mkataba? Dah inafikirisha sana!

    ReplyDelete
  2. Hakuna maigizo, ndo kama ulivyosikia. Shauri linaweza kusikilizwa hadi muda wa usajili ukapita,, ndio maana Simba wameona wamalizane na mchezaji, mengine yatafuata, na haijajulikana uamuzi utafanyika lini

    ReplyDelete
  3. Mimi ni Yanga lakini naona kuna kitu viongozi wanaficha na hawatuambii ukweli. Hata hiyo barua hapo juu haina saini ya aliyeandika. Inakuwa rahisi kuamini maneno ya Morisson kwamba hana mkataba. Kwanini viongozi hawajitokezi na kusema ukweli. GSM lini wakawa ni viongozi wa Yanga?

    ReplyDelete
  4. Kwani wewe umemfumania mkeo mpaka upate ushahidi hiyo picha ni ya Miraji kichwa cha Morrisono msitudanganye

    ReplyDelete
  5. nakumbuka movie ya simba na singano

    ReplyDelete
  6. Muda utaongea, mbivu na mbichi zitajulikana.
    Watu wavute subra lkn hakuna Sheria inayoruhusu mchezaji kusaign team mbili.
    Uharaka wa TFF ktk kumaliza mzozo ndio jambo la msingi.

    ReplyDelete
  7. Hilo tamko vilevile fek no tamko gani rasmi lisilo na saini

    ReplyDelete
  8. Wanajikaza kisabuni kwa kuogopa kujibu nani aliyeghushi saini

    ReplyDelete
  9. KWa shishimbi mliambiwa kasaini mambo yalipoharibika mkabadilishiwa lugha ikawa kulikuwa na makubaliano. Huenda hata Morison yalikuwa ni makubaliano bandugu.

    ReplyDelete
  10. barua zote za Yanga zilikuwa na saini na lakini hii haina sahihi wala jina hapa kuna alama hiii ????????

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic