Hivi ndivyo mabao 101 ya Cristiano Ronaldo ndani ya timu ya Taifa ya Ureno yamepatikana;-
Mguu wa kushoto mabao 22
Mguu wa kulia mabao 54
Kichwa mabao 25
Ndani ya box amepachika mabao 80
Nje ya box mabao 21
Mipigo huru 10
Penalti 11
Ndani ya dakika 0-15 mabao 10
Ndani ya dakika 16-30 mabao 16.
Ndani ya dakika 31-45 mabao 15.
Ndani ya dakika ya 46-60 mabao 10.
Ndani ya dakika 61-75 mabao 22.
Ndani ya dakika 76-90 mabao 28.
Nyumbani amefunga mabao 41.
Ugenini mabao 35.
Neutral 25.
Baba looo but g up san
ReplyDelete