September 28, 2020

14 COMMENTS:

  1. Wanajifanya viongozi wanaomba radhi lkn wenyewe pia katka team za ligi kuu zisizo na nidhamu yanga namba moja lakini mbona Tanzania tuna mashabiki maandazi hivi mtu unakua na akili ghani kumjerui mwenzio kisa mipira na ulinzi ukoje na hatua zipi zimechukuliwa maana wakiacha hivyo tunapoelekea Ni vita maana itakuja revenge kubwa kuliko maana uongozi team Fulani unaomba radhi ili kuepuka faini haya na sheria haidhibu waliofanya tukio hi hatari nimejisikia vby watanzania tunakwama wap? Amani iko wap?

    ReplyDelete
  2. Yanga wamezoea kufanya mambo ya hovyo kwa mashabiki wa simba ni hivi karibuni tu walimchania jezi shabiki wa simba na kumzalilisha. Vyombo husika vichukue hatua stahiki kwa waliohusika na ujinga huo na wakati huo huo kuwaomba mashaiki wa simba kuwa na subira kutojiingiza kwenye mtego wa shetani na kuvunja amani yetu.

    ReplyDelete
  3. Waendeleeee tu ci wanajikuta mabondia

    ReplyDelete
  4. IWanayanga hasira za nini jamani? Kwani simba ndio waliowaletea hao mafowadi magarasa wasiweza kufunga hata bao la kupotea?

    ReplyDelete
  5. kiukweli tumekosea sana, michezo sio uhadui

    ReplyDelete
  6. Klabu ya yanga inastahili adhabu kali ili iwafundishe mashabiki wao kuacha huo ushenzi. Ukweli ni kuwa mashabiki hao wapuuzi wanachochewa na viongozi. Tunataka sheria sasa ichukue mkondo wake kabla mpira haujageuzwa kuwa vita. Fifa itaifungia Tanzania ikiwa hali hio itaachiea kumea

    ReplyDelete
  7. Simba hata Mara moja hijawahi hata Mara moja kupiga au kuwachania nguo wengine au kuzomea, Kwahakika ni wenye adabu na ustaarabu wa hali ya juu

    ReplyDelete
  8. Utopolo washazoea, baadhi ya mashabiki Ni Kama walevi wasiyo na busara,tangia manji awatelekeze mzimu wa yusuphu unawatesa mpaka leo. Mashabiki wapumbavu waache upumbavu mpira Ni urafiki si uadui

    ReplyDelete
  9. Sasa Viongozi si ndio wameomba radhi, au mlitakaje?
    Kitendo Cha baadhi ya mashabiki haina maana Wana Yanga wote wanafurahia kitendo hicho.
    Mbona Simba waliwahi kung'oa viti kwa Mkapa, kwahiyo ndio tuseme Washabiki wasimba ndio tabia yao?

    Point ya msingi uvunjifu wa Amani hauvumiliki kwa namna yoyote, iwe Yanga, Azam au Simba...

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kuomba radhi kwa viongozi haizui watu kukulaumuni maana mmezowea

      Delete
    2. Kung'oa viti sio jambo zuri lakini mshabiki wa Yanga kumpiga mshabiki wa simba eti tu kwa sababu kaja kwenye mechi ya Yanga hilo ni jambo la hatari zaidi kama watu wataendelea na vitendo hivi utakuwa si tena utani wa jadi na utakuwa ni uadui mkubwa kati ya washabiki wa simba na Yanga ambao miongoni mwao ni ndugu wa damu kabisa lakini wanashabikia timu hizi mbili tofauti

      Delete
    3. Matukio yabayofanana yanajirudia kwa muda mfupi huo Ni upumbavu. Tff acha kuwaonea aibu fungia hao mashabiki wote wenye akili zakijinga. Fundisho linahitajika siku watu watauana Ohoooo fanyeni mchezo wakitoto chukueni hatua tff.

      Delete
  10. Yanga wanaomba radhi kimagumashi tuu ila wanafurahia matendo haya. Na kung'oa vitu si sawa na kupiga watu japo yote hatutaki yatokee. Yanga wachukue hatua vongonevyonitawagharimu point au kucheza bila wataxamaji au kufungiwa kabisa ikiwa masuala haya yatafikishwa FIFA na CAF

    ReplyDelete
  11. Yale ya ahaly na elmasry tusipoangalia yatatokea bongo.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic