September 28, 2020

 


LEO Ligi Kuu Bara inaendelea ambapo raundi ya nne inakamilika kwa mechi moja kuchezwa Uwanja wa Mkwakwani majira ya saa 10:00 jioni.


Mchezo wa leo ni kati ya Coastal Union inayonolewa na Juma Mgunda dhidi ya JKT Tanzania inayonolewa na Mohamed Abdalah.


Coastal Union imetoka kulazimisha sare ya bila kufungana mchezo wake uliopita mbele ya Dodoma Jiji ambapo Mgunda alisema kuwa watapambana kupata pointi tatu kwenye mechi zao za mbele.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic