September 23, 2020

5 COMMENTS:

  1. Hongereni sana kwa kuuza gazeti kwa headings chochezi.....🏃🏃🏃

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kama kawaida yao utafikiri wao ndio mameneja au mawakala wa wachezaji

      Delete
  2. Kwa nini iwe chokozi? Akihitajika na club nyingine kwa nini asiondoke? Simba sio wazazi wake......

    ReplyDelete
  3. Msemaji WA club anatakiwa kutoa ufafanuzi

    ReplyDelete
  4. Nimetafuta gazeti na kusoma hakuna cha maana eti kwa kiwango anachokionyesha chama kwa sasa akiendelea hivi itakuwa vigumu kubaki simba Ni maoni ya kocha WA simba hakuna timu iliyotuma offer

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic