September 24, 2020

2 COMMENTS:

  1. Mugalu ni aina ya wafungaji waliokuwa wakizitesa timu zetu za Tanzania yaani ukijasahau tu basi mtaanza kulaumiana mpira tumecheza sisi lakini tunafungwa kwa sababu huyu jamaa anaonekana kazi yake kweli ni kufunga magoli sio mchezo kinachovutia ni utulivu wake anapokuwa na mpira katika eneo la mpinzani hatari!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ni ukweli mtupu huyu Mugalu anacheza mpira Kwa utulivu, akili na Hana papara kama za Bocco.Hata Ilanfya ni mtulivu japo naona ni mzito.

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic