Bodi ya Ligi
Kuu Bara Tanzania,(TBLB) imeufungia Uwanja wa Karume wa Mara leo Septenba 13
kuchezewa mechi zozote za mashindano kutokana na ubovu wa eneo la kuchezea
(pitch) na vyumba vya kubadilishia nguo kutokidhi vigezo na imetoa siku 21
kufanyiwa marekebisho.
Huu sasa ubabaishaji, ina maana hawakukagua viwanja kabla ya ligi kuanza?
ReplyDeleteHawa bodi ya ligi wapumbavu viwanja vinakaguliwa kabla ya ligi kuanza sio baada ya ligi
DeleteHata jamuhuri morogoro unapaswa kufungiwa
ReplyDeleteSahihi uwanja mbovu kuliko hata uwanja wa mpira wa Tegeta nyuki fc
DeleteMkwakwani, Karume,Jamhuri,Ushirika, Nelson Mandela na Dodoma havifai kuchezewa mpira.Ili tuendeleze mpira tunahitaji viwanja vizuri ili timu zicheze mpira bila kuathiri afya za wachezaji.
ReplyDelete