Mutatuaminisha lini na ss wa Tz wenye kipenda mpira kama na ss tuna team ya Taifa? Mana bocco nimajeruhi tokea tre 12/08 sikuwaliocheza na mtibwa mpaka bado hajawa fiti, kati ya baraka majogoro, kikoti, mudathir yahya unawacha wote unamchukua Ndemla, wadau naomba hoja au ni Matola tu kwa vile anatoka simba kaenda na watu wake mkononi Bila yakuzingatia viwango na kuwanyima wengine wenye sifa?

ReplyDeleteBoko sio muhimu timu ya Taifa. Toka aanze kuitwa timu ya taifa mwaka 2009 mpaka leo hajawahi kuifungia hata goli moja.
ReplyDeleteJadili hoja iliyoko.ezani kikosi cha simba sio starz
ReplyDeleteKikosi kizuri
ReplyDelete