KIKOSI cha Simba ambacho kinacheza na Mlandege FC ya Zanzibar mchezo wa kirafiki Uwanja wa Azam Complex, leo Oktoba 17 Ibrahim Ajibu na Bernard Morrison ndani.
KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOKIPIGA NA MLANDENGE FC, AJIBU NDANI
KIKOSI cha Simba ambacho kinacheza na Mlandege FC ya Zanzibar mchezo wa kirafiki Uwanja wa Azam Complex, leo Oktoba 17 Ibrahim Ajibu na Bernard Morrison ndani.
Ame na Kennedy Juma wasikubali hivi hivi tu kwamba akina wawa na Joshi kuwa ni wa kipekee pale simba na wao kuridhika kubakia kusugua benchi.Ni vijana mahiri wakiamua watakavyotaka kuwa wanakuwa maamuzi ni yao wao wenyewe kumfanya Sven awaamini au asiwaamini.Ukiwaangalia wawa na Joshi licha ya uzoefu lakini wanaonekana wapo vyema katika utimamu wa mwili licha ya umri kusogea. Katika mpira kwa mchezaji utimamu wa mwili wa ziada dio unaomfanya mchezaji kudhibiti kasi ya mchezo na kufanya maamuzi sahihi bila ya mchecheto.
ReplyDelete