ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Yanga, Zlatko Krmpotic raia wa Serbia leo ameanza safari ya Kurejea nchini Serbia baada ya mkataba wake kusitisha jana Oktoba 3.
Zlatko alitambulishwa ndani ya Yanga, Agosti 29 akichukua mikoba ya Luc Eymael ambaye naye aitimuliwa kutokana na makosa ya kiubaguzi.
Jana ilikuwa ni mchezo wake wa nane ambapo ilikuwa dhidi ya Coastal Union na ilishinda mabao 3-0
0 COMMENTS:
Post a Comment