October 2, 2020


 NYOTA wanne wanaokipiga ndani ya Klabu ya Yanga wamejumuishwa kwenye orodha ya wachezaji 25 wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ambayo itaingia kambini Oktoba 5 kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Burundi.


Nyota hao ni hawa hapa:-

Metacha Mnata yeye ni kipa.

Bakari Mwamnyeto yeye ni beki.

Ditram Nchimbi yeye ni mshambuliaji.

Feisal Salum yeye ni kiungo.

5 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic