October 2, 2020


LEO Oktoba 2, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Ettiene Ndayiragije ametangaza kikosi kazi kitakachoingia kambni Oktoba 5,2020 kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Burundi.


Kikosi hicho chenye jumla ya nyota 25 kimebeba nyota saba kutoka Simba ambao ni hawa hapa:-

 Aish Manula yeye ni kipa.

Shomari Kapombe beki.

Mohamed Hussein nahodha msaidizi ndani ya Simba anacheza nafasi ya beki.

Jonas Mkude kiungo mkabaji.

John Bocco yeye ni nahodha anacheza nafasi ya ushambuliaji.

Mzamiru Yassin yeye ni kiungo.

Said Hamis yeye ni kiungo.

3 COMMENTS:

  1. Wengine sawa bt Ndemla labda Timu ya Wachezaji wa ndani (Chan)ndo saizi yake

    ReplyDelete
  2. Ndemla zaidi ya mukoko ila watanzania ni wajinga kupenda cha nje.

    ReplyDelete
  3. Said Hamisi Ndemla amekua mtamu sana. Nina imani atakiwasha mbele ya Burundi endapo mwalimu atampatia nafasi ya kucheza

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic