FT: JKT Tanzania 0-4 Simba
Uwanja: Jamhuri
Zimeongezwa dakika 3Dakika ya 88 Bernard Morrison anachezewa faulo
Dakika ya 87 Bwalya anachezewa faulo.
Dakika ya 62 Manula anaokoa hatari langoni
Dakika 52 Goal Luis Miqussone
Dakika ya 49 Sabato anakosa nafasi ya wazi
Dakika ya 48 Simba wanapeleka mashambulizi JKT Tanzania
Kipindi cha pili
Mapumziko
JKT Tanzania 0-3 Simba
Uwanja wa Jamhuri
JKT Tanzania 0-3 Simba
Uwanja wa Jamhuri, Dodoma
Zinaongezwa 2
Dakika ya 45 zimekamilika
Kipindi cha Kwanza dakika ya 43 Kagere anapewa huduma ya Kwanza.
Kipindi cha Kwanza mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya JKT Tanzania dhidi ya Simba, Uwanja wa Jamhuri.
Simba inaongoza kwa mabao 3-0 ikiwa ni kipindi cha Kwanza.
Mabao ya Simba yamefungwa Meddie Kagere dakika ya 5 ,40 na Chris Mugalu dakika ya 6.
0 COMMENTS:
Post a Comment