October 25, 2020

 






FT: KMC 1-2 Yanga

Yanga imesepa na pointi tatu jumlajumla mbele ya Yanga kwa ushindi wa mabao 2-1 Uwanja wa CCM Kirumba.

Ushindi huu unaifanya Yanga ifikishe jumla ya pointi 19 ikiwa nyuma kwa pointi mbili kutoka kwa Azam FC ambao wana pointi 21 baada ya kucheza mechi saba.

Uwanja wa CCM Kirumba. 

Dakika tatu zimeongezwa
Dakika ya 88 Kisinda anatoka anaingia Ninja
Dakika ya 86 Niyonzima ndani anatoka Wazir Junior
Dakika ya 82 KMC wanapata kona
Dakika ya 60 Goal Wazir Junior anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 53 Kaseja anaanzisha mashambulizi 
Dakika ya 49 Lamine Moro njano dk 49
Dakika ya 47  Kaseke anachezewa faulo 
Dakika ya 46 Lamine Moro anaanua majalo
Kipindi cha pili kimeanza
Mapumziko 


KMC 1-1 Yanga

CCM Kirumba 

Goal KMC Hassan Kabunda dk 26

Goal Yanga Tuisila Kisinda dk 40 penalti. 
Dakika 45 zinakamilika inaongezwa dk 1

Paul Peter anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 40 Tuisila Kisinda anafunga Goooal kwa Yanga
Dakika ya 39 Yanga wanapata penalti
Dakika ya 36 Dante anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 36 Fei Toto anapeleka mashambulizi kwa Kaseja
Dakika ya 29 Yanga inapata faulo karibu na 18
Dakika ya 26 Hassan Kabunda Gooool nje ya 18 na anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 20 Kaseja anaanzisha mashambulizi 
Dakika 15 zimekamilika bila timu kufungana, Kenny Ally alifanya jaribio kwa Mnata ila ilikuwa ni offtarget
Dakika ya 13 Metacha Mnata anaanzisha mashambulizi kwenda kwa Kaseja
Dakika ya 9 Fei Toto anachezewa faulo na Emmanuel Mvuyekure
Dakika ya 8 Fei Toto anapoteza pasi 
Dakika ya 6 Yanga wanaanzisha mashambulizi 
Dakika ya 3 Deus Kaseke alipiga faulo haikuwa matunda.
Dakika ya 1 KMC walipiga kona haikuzaa matunda

OKTOBA 25, Uwanja wa CCM Kirumba


KMC 0-0 Yanga


Mwamuzi wa kati ni Ramadhan Kayoko

5 COMMENTS:

  1. Penanti tayari bado kupunguzwa mmoja kwa redcad

    ReplyDelete
  2. Tulia dawa ikuingie wewe

    ReplyDelete
  3. Tulia dawa ikuingie msije mkakimbilia CAS na FIFA tu

    ReplyDelete
  4. Ipo hv kila nickname inalenga asili ya Mtu ,mbwa paka ninyi KMC why mnaamisha na kujifanya wenyeji wa Mpira u project against reality utakufa na madrug

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic