Ndio tff yetu na marefa wao wamejazwa kila kona ili ibebwe yanga nje ya 18 penati simba wamechezewa rafu 3 ndani ya 18 hakuna penati wachezaji wanaumizwa anawabeba yanga hata lile goli nalo angekataa tu ingekuwa sawa ndio nchi hii ilivyo
Nadhani kuna kampeni maaalum chafu ya kuiwezesha Yanga kuwa Bingwa msimu huu kwa kweli mambo mengine ni mambo ya aibu kwenye mpira wetu inasikitisha sana. Marefa sita wameshindwa kuona kuwa yule mchezaji wa Yanga kaguswa nje ya penalt Box akakimbilia kujiangusha ndani ya box.Mchezaji wa Yanga aliekwenda kumsukuma Miquisone ndani ya penalt Box hakwenda kucheza mpira kaenda kumsukuma miqisone makusudi.Maamuzi haya mabovu ndio chanzo cha mpira wa Tanzania kutopiga hatua mbele yaani ndio mchawi anaeliroga soka letu hakuna kingine.
Kuna virusi bodi ya ligi na kamati ya waamuzi haiwezekani mwamuzi aliyeibeba yanga na kagera anakuja kuinyonga simba na prison pia mwamuzi aliyeibeba yanga na azam anakuja kuibeba tena tena ikicheza na Simba bila Simba kusimama kidete huu ubingwa wasahau lazima wahakikishe hawa waamuzi wanachukuliwa hatua ili liwe fundisho adhabu za miezi mitatu ni ndogo sana
Miaka zaidi ya 3 Yanga inalalamikia Marefa na ninyi mikia mlikuwa mnawabeza na kusema wamezidi kulalamika. Sasa ninyi hili moja tu mnavunja rekodi ya kulalamika. Hakuna asiyejua udhaifu wa marefa wetu na wanafanya hayo ni kudhihirisha kuwa uwezo wao wa kutafsiri sheria ni mdogo. Msilalamike kuwa Yanga inabebwa wakati nayo inalalamika mara nyingi tu. Ninyi mmesema Yanga inabebwa kwa kuangalia mechi ya Jana tu. Mbona wakat Yanga inalalamika ninyi mnasema Yanga wanalalamika mambo ya uongo. Kuweni weledi basi kukemea udhaifu wa marefa ili tuinue kiwango cha soka Tanzania. Hiyo TFF ambavyo imejaa Simba tupu wanawezaje kuweka marefa wenye mikakati ya Kuipendelea Yanga wakati wao wooooootee mpaka wafagiaji ni Wanasimba?
Mie nafikiri bodi ya ligi, wadhamini na TFF iajiri marefarii toka nje ya nchi waje angalau kucheza ligi yetu Kwa muda fulani ili pengine itawapa fundisho fulani hawa marefarii.Ukienda ligi ya daraja la Kwanza huko marefa ni vichekesho na kudundwa ndio kama kazi.
TFF imulike mechi za yanga, huenda wanarubuni marefa. Haiwezi kuwa coincedence all the time the same team
ReplyDeleteSimba wakipewa penati marefa wasimulikwe ila akipewa Yanga TFF wawamulike marefa...duh mahaba haya?
DeleteNdio tff yetu na marefa wao wamejazwa kila kona ili ibebwe yanga nje ya 18 penati simba wamechezewa rafu 3 ndani ya 18 hakuna penati wachezaji wanaumizwa anawabeba yanga hata lile goli nalo angekataa tu ingekuwa sawa ndio nchi hii ilivyo
ReplyDeleteNadhani kuna kampeni maaalum chafu ya kuiwezesha Yanga kuwa Bingwa msimu huu kwa kweli mambo mengine ni mambo ya aibu kwenye mpira wetu inasikitisha sana. Marefa sita wameshindwa kuona kuwa yule mchezaji wa Yanga kaguswa nje ya penalt Box akakimbilia kujiangusha ndani ya box.Mchezaji wa Yanga aliekwenda kumsukuma Miquisone ndani ya penalt Box hakwenda kucheza mpira kaenda kumsukuma miqisone makusudi.Maamuzi haya mabovu ndio chanzo cha mpira wa Tanzania kutopiga hatua mbele yaani ndio mchawi anaeliroga soka letu hakuna kingine.
ReplyDeleteSimba wakipewa penati marefa wasimulikwe ila akipewa Yanga TFF wawamulike marefa na kwamba kampeni chafu ya kupewa Yanga ubingwa..duh mahaba haya?
DeleteNasema tena, mpira unachezwa hadharani, sio kama kupiga kura za siri. Yanga na marefa wao wanajiaibisha tuu. Na hii bodi ya ligi inashiriki huu uozo
ReplyDeleteSimba wakipewa penati marefa wasimulikwe ila akipewa Yanga TFF wawamulike marefa...duh mahaba haya?
DeleteKuna virusi bodi ya ligi na kamati ya waamuzi haiwezekani mwamuzi aliyeibeba yanga na kagera anakuja kuinyonga simba na prison pia mwamuzi aliyeibeba yanga na azam anakuja kuibeba tena tena ikicheza na Simba bila Simba kusimama kidete huu ubingwa wasahau lazima wahakikishe hawa waamuzi wanachukuliwa hatua ili liwe fundisho adhabu za miezi mitatu ni ndogo sana
ReplyDeleteSimba wakipewa penati marefa wasimulikwe ila akipewa Yanga TFF wawamulike marefa...duh mahaba haya?
DeleteMiaka zaidi ya 3 Yanga inalalamikia Marefa na ninyi mikia mlikuwa mnawabeza na kusema wamezidi kulalamika. Sasa ninyi hili moja tu mnavunja rekodi ya kulalamika. Hakuna asiyejua udhaifu wa marefa wetu na wanafanya hayo ni kudhihirisha kuwa uwezo wao wa kutafsiri sheria ni mdogo. Msilalamike kuwa Yanga inabebwa wakati nayo inalalamika mara nyingi tu. Ninyi mmesema Yanga inabebwa kwa kuangalia mechi ya Jana tu. Mbona wakat Yanga inalalamika ninyi mnasema Yanga wanalalamika mambo ya uongo. Kuweni weledi basi kukemea udhaifu wa marefa ili tuinue kiwango cha soka Tanzania. Hiyo TFF ambavyo imejaa Simba tupu wanawezaje kuweka marefa wenye mikakati ya Kuipendelea Yanga wakati wao wooooootee mpaka wafagiaji ni Wanasimba?
ReplyDeleteMie nafikiri bodi ya ligi, wadhamini na TFF iajiri marefarii toka nje ya nchi waje angalau kucheza ligi yetu Kwa muda fulani ili pengine itawapa fundisho fulani hawa marefarii.Ukienda ligi ya daraja la Kwanza huko marefa ni vichekesho na kudundwa ndio kama kazi.
ReplyDelete