PRINCE Dube akiwa na familia yake nchini Zimbabwe ambapo ameitwa timu ya Taifa ya Zimbabwe.
Nyota huyu anakipiga timu ya Azam FC vinara wa Ligi Kuu Bara wakiwa na pointi 25 baada ya kucheza mechi 10.
Kibindoni amefunga mabao sita na ana pasi nne za mabao.
0 COMMENTS:
Post a Comment