LEO Novemba 9, droo ya raundi ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika imefanyika nchini Cairo ambapo kwa Tanzania, Simba inaiwakilisha Tanzania Ligi ya Mabingwa Afika baada ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu uliopita.
Mabingwa kutoka Tanzania kwenye raundi ya awali watapambana na timu kutoa Nigeria inayoitwa Plateau United na mshindi kwenye mchezo huu atakutana na mshindi kati ya Costa do Sol ama FC Platinum.
Timu ya Gormahia itakutana na APR na mshindi atakutana na CR Belouizdada ama AL Nasri.
Sfaxien ya Tunisia itamenyana na Mapinduzi ya Zanzibar.
FC Nouadhibou v Asante Kontoko.
Buffels v MC Algers
Enyimba v Rahimo FC
AS Otoho v Al Merreikh
Costa do Sol v FC Platinu
Timu hizi hazitashiriki katika raundi ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika:-
Al Ahly na Zamalek za Misri
AS Vita na TP Mazembe za Congo
Esperance ya Tunisia
Horoya ya Guinea
Mamelond Sundowns ya Afrika Kusini.
Raja Casablanca na Wydad Casablanca za Morocco.
SIMBA SPORTS CLUB-TANZANIA V/s PLATEAU UNITED-NIGERIA
ReplyDeleteCS SFAXIEN-TUNISIA V/s MLANDEGE-ZANZIBAR
According to the Confederation of African Football (Caf), the first leg matches will be played between November 27 and November 29
DeleteMapema tu MISUKULE fc bye bye! Dah mtabaki kushudia tu Kwenye Tv nyau nyie
ReplyDeleteIla Utopolo wao watafika nusu fainali mwaka huu
DeleteWe unafikiri Simba kama nyie utopolo mshazoea kubebwa eti mabingwa wa kihistoria, mabingwa wa kihistoria wa ligi yenu ya akina Jamali Malinzi mtabaki kushabikia wapinzani wa Simba kwa kuwa nyinyi kama nyinyi wenyewe hamjiwezi, Simba ndio timu pekee Tanzania inayowakilisha vyema linapokuja suala la michuano ya kimataifa sasa chura mmoja tu anakurupuka eti mapema tu misukule sasa kati ya simba na Yanga nani misukule. Ndo mana mkaitwa nyani fc
DeleteNjia nyeupe kabsa kwa Simba kutinga makundi,,timu yenyewe ndo Mara ya pili kushirik michuano ya kimataifa
ReplyDeleteSimba mjitahidi sana nsijetoka raundi ya kwanza Ni aibu
DeleteKila la kheri SIMBA katika maandalizi ya mchezo huo muhimu wa kuwakilisha nchi yetu.
ReplyDeleteNinawatakieni Simba FC mafanikio makubwa ya kusonga mbele kwenye ligi ya mabingwa mwaka huu.
ReplyDelete