November 6, 2020


 BAADA ya mchezo wa kwanza wa wa ufunguzi kwenye mashindano ya Cosafa yanayofanyika nchini Afrika Kusini leo timu ya Taifa ya Wanawake ya U 17 imepoteza kwa kufungwa mabao 2-1.


Mchezo wa kwanza kwa U 17 iliyo chini ya Kocha Mkuu, Edna Lema ambaye ameweka wazi kuwa wachezaji wapo vizuri katika kupambana ili kupata matokeo chanya ilishinda kwa mabao 5-1.


Ilikuwa ni Novemba 4 dhidi ya Comoros ambapo walifanikiwa kuanza kwa mguu mzuri na kusepa na ushindi kwenye mchezo huo.


Mechi zote mbili zimechezwa Uwanja wa Oval nchini Afrika Kusini na jumla U 17 imefunga mabao sita huku ikifungwa mabao mawili.


Mashindano hayo ambayo yameanza Novemba 4 yanatarajiwa kukamilika Novemba 14.

4 COMMENTS:

  1. Mwandishi we ni mavi kabisa, sasa husemi kacheza na nani unatoa matokeo tu, we ni msenge sana

    ReplyDelete
  2. Ndio maana walihitwa KANJANJA

    ReplyDelete
  3. Af juz waliandika wameshacheza mechi mbili na wachezaji wetu wawili walishatwaa tuzo ya wachezaji bora kila mmoja sasa nashangaa leo

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic