December 19, 2020

7 COMMENTS:

  1. imekuwa mnasubiria kuweka kikosi cha Yanga kama vile watoto wanasubiria iddi au krismas

    kweli saleh jembe hivi unakumbuka lini mara ya mwisho Simba inacheza uliweka kikosi humu?
    haitawasaidia

    ReplyDelete
  2. Wewe paka Salehe Jembe ni friends of Simba ,hata hili anawaandaa Dodoma,Tatizo wapenzi wa mikia Akili zenu mlizaliwa wakati baba zenu wAmetoka kusema uongo ,tunaombwa ndugu hata akiwa Prof Kama Kapuya ikija Simba ukweli ziro

    ReplyDelete
    Replies
    1. hujui hata to make inference..kuelewa imply..
      kama seheh na vibaraka wake angekuwa Simba basi angekuwa anatoa kikosi cha simba hata kutoa live update ya mechi ikiwa inaendelea..Hayo anayafanya kwa Yanga.

      Utakuta baba mwenye nyumba anacheza na plateau wala haweki kikosi au update ya mchezo...kwa aibu kesho yake ndiyo anaandika habari eti Simba imesonga mbele...
      au kwa kuwa Yanga walijazana airport kuwapokea Wanaijeria.
      Hata hao wachezaji ambao mlijazana airport kuwapokea na hadi sasa wengine hata magoli hawajafunga kumbukeni kuwaaga kwa wingi uwanja wa ndegi..kueni basi

      Delete
    2. Umejibu vema sana aise kuna watu hawaelewi Hata kwanini timu huwa zinaficha kikosi halisi.

      Delete
  3. Tunaombwa/tunaombwa ndugu sorry

    ReplyDelete
  4. Inajirudia ni tunao ndugu samahani

    ReplyDelete
  5. Jifunze hata kuandika ukweleweka!
    Hivi mafunzo ya kusoma na kuandika (ngumbaru) hayapo siku hizi?
    Ungefaidika na mafunzo hayo ili wasomaji waelewe unachokiandika.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic