December 23, 2020


Mpira umekamilika Uwanja wa Azam Complex kwa Klabu ya Namungo FC kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Al Hilal Elobied.

Ushindi wa leo ni faida kwa Namungo ambapo inatakiwa kulinda kwenye mchezo wa marudio ili iweze kusonga mbele.
Zinaongezwa dakika 4
Dakika 90 zinakamilika
Dakika ya 89 Sey anaotea
Dakika ya 84 anafanya jaribio ndani ya 18 linakwenda nje ya lango
Dakika ya 83 Blaise anachezewa faulo
Dakika ya 82 Kikoti anafanya jaribio nje ya 18 likwenda nje kidogi ya lango
Dakika ya 80 Sey anatoa pasi ya kichwa kwa Kichuya
Dakika ya 78 Steve Nzigamasabo anatoka anaingia Tangalo kwa Namungo
Dakika ya 75 Sey anakosa nafasi ya kufunga ndani ya 18 kwa kros iliyopigwa na Blaise
Dakika ya 73 Nahimana anaokoa hatari na inakuwa kona ambayo inapigwa inaoklewa na kipa mwenyewe
Dakika ya 72 mchezaji wa Al Hilal anapewa huduma ya kwanza
Dakika 71 Al Hilal wanapata faulo inakwenda nje kidogo ya lango
Dakika ya 65 Haruna Shamte anaingia anatoka Miza
Bigirimana Blaise anaingia anatoka Sabilo
Dakika ya 60 Al Hilal wanapiga faulo inaokolewa na Nahimana.

Dakika ya 59 Nahimana anaokoa
Dakika ya 58 Sabilo anakosa nafasi ndani ya 18

Dakika ya 55 Kikoti anapiga faulo inaokolewa 
Dakika ya 52 Nahimana anaokoa ndani ya 18
Dakika ya 46 Mabeki wa Namungo wanaanua hatari nje kidogo ya 18
Kipindi cha pili kimeanza Uwanja wa Azam Complex
Mapumziko

Kombe la Shirikisho
Kipindi cha kwanza

Uwanja wa Azam Complex: Namungo 2-0 Al Hilal Elobied

Zinaongezwa dakika 2

Dakika 45 Kipa wa Al Hilal anaanzisha mashambulizi

Dakika ya 44 Kikoti anapiga kona inaokolewa na kipa 

Dakika ya 42 Sabilo anafanya jaribio akiwa ndani ya 18 linakwenda nje kidogo ya lango

Dakika ya 40 Nzigamasabo anapiga faulo inaokolewa na kipa

Goal Stephen Sey dk 30

Goal Sixtus Sabilo dk 13


Dakika ya 33, Hashim Manyanya anaingia Shiza Kichuya

Dakika ya 17 Nahimana alifanya save

Dakika ya 12 Sey alifanya jaribio halikuzaa matunda


1 COMMENTS:

  1. Strikers wakiacha ubinafsi watafunga timu itafunga sana

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic