BAADA ya nyota wa kikosi cha Arsenal, Mesut Ozil kusepa ndani ya kikosi hicho na kuibukia ndani ya Fenerbahche ameweza kutaka kikosi chake bora ndani ya Arsenal.
Katika kikosi hicho nyota huyo naye pia amejijumuisha yeye pia pamoja na Sanchez na Gnabry ambapo watacheza nyuma ya Pierre Emerick Aubameyang.
Hiki hapa kikosi bora cha Ozil:
1. David Ospina
2.Bacary Sagna
3.Laurent Koscienly
4.Per Mertesacker
5.Sead Kolasinac
6.Santi Cazorla
7.Aaron Ramsey
8.Mesut Ozil
9.Serge Gnabry
10.Alexis Sanchez
11.Pierre Aubameyang
It's right
ReplyDelete