January 15, 2021

 


Tukianzia kule Uingereza kwenye EPL – Kutakuwa na mechi ya wakubwa wa ligi hiyo, wikiendi hii ni Liverpool vs Manchester United. Pale Anfield moto utawaka ndani ya dakika 90!

 

Timu hizi zimeshakutana mara 232 tangu mwaka 1894. Katika michezo 10 ya mwisho, Liverpool vs Man United wametoka sare mara 6. Pale Anfield, Liverpool ameshinda mara 2 katika michezo 4 ya mwisho. Kwenye msimamo wa Ligi, United anaongoza kwa pointi 3 akifuatiwa na Liverpool.

 

Meridianbet tumemthamini Liverpool kwa odds ya 2.15 kama mwenyeji wa mchezo huu.

Pale jijini London kutakuwa na mchezo kati ya West Ham United na Burnley. Burnley anaingia kwenye mchezo huu akiwa na maumivu ya kufungwa na United kwenye mchezo uliopita. Meridianbet tumempatia faida West Ham kwa kumpatia odds ya 1.95 kama mwenyeji.


King Power Stadium kutakuwa na mtanange kati ya Leicester City vs Southampton, Soton wanamkosa Danny Ings baada ya kupata maambukizi ya COVID19, lakini haimaanishi watashindwa kupata matokeo. Meridianbet tumepatia faida Leicester City kwa odds ya 2.00 kwenye mtanange huu.

 

Tusafiri kidogo mpaka Italia kwenye Serie A, Lazio kuwakaribisha AS Roma wiki hii. Bado mbio za kuisaka Scudetto zinaendelea, nani ataibuka kidedea mwisho wa msimu? Meridianbet tumekuwekea odds ya 2.55 kwa AS Roma kama mgeni wa mchezo huu.

 

Cagliari uso kwa uso na vinara wa msimamo wa Serie A, AC Milan. Milan amepoteza mchezo mmoja tu mpaka sasa kwenye ligi soka nchini Italia, ataendeleza ubabe wake wikiendi hii? Meridianbet tumekuwekea odds ya 1.58 kwa Milan wikiendi hii.

 

Kule Ujerumani kwenye Bundesliga mambo ni moto! Union Berlin vs Bayer Leverkusen wiki hii. Nafasi za kucheza Ligi ya Mabingwa msimu ujao zinatafutwa kwa udi na uvumba. Meridianbet tumekuwekea odds ya 2.27 kwa Leverkusen kama mgeni wa mchezo huu.

 

Vita kuu itakuwa kati ya Wolfburg vs RB Leipzig, uwezo wa timu hizi unashabihiana kwa kiasi kikubwa lakini zinapokutana uwanjani, mambo huwa ni tofauti kabisa. Nani atakuwa mbabe wa mwingine wikiendi hii? Meridianbet tumekupa odds ya 2.17 kwa Leipzig kwenye mchezo huu.

 

Kwa Odds bora na bonasi kubwa kwenye michezo ya kubashiri, ni Meridianbet pekee utakapoweza kupata faida kubwa kwa kila dau utakalo weka. Ungana na Mabingwa wa Kubashiri sasa!

7 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic