January 22, 2021

8 COMMENTS:

  1. Mbona waandishi ni kama wanaipotezea ishu ya meambusi? Au hawataki kuonyesha kuwa hata yanga kuna wakati kunakuwa na matatizo ila simba tuu? Ndio maana huwa tunahisi wanatumwa kuenexa umbea ili kuivuruga simba kisaikolojia.

    ReplyDelete
  2. Wapo kwenye pay roll hicho kinajulikana.Kuitoa kwenye reli Simba ndio jukumu walilopewa.Wanasimba tusigawanyike.Tukiwa pamoja hakuna wa kutuzuia Simba nguvu moja.

    ReplyDelete
  3. Unazi ukizidi sana mtu unageuka KICHAA ni matatizo ya akili kuiwazia Simba na Yanga kila wakati kuliko kuwaza jinsi ya kuboresha kipato na familia yako. Unaipenda Timu kuliko mke wako kuliko watoto wako kuliko dini yako kuliko Mungu wako. Huo ni ukichaa.

    ReplyDelete
  4. Wewe kama shabiki wa hizi timu ungepoteza muda kufuatilia taarifa hizi? Sema tuu wewe ni team utpolo, mbona inajulika tuu kutokana na majibu yako?

    ReplyDelete
  5. Kushabikia timu hakumzuii mtu kuipenda familia yake, mke wake Mungu wake wala hakumfanyi mtu ashindwe kupambania maisha yake kiuchumi

    ReplyDelete
  6. Ugonjwa wa akili unategemea umeshambulia eneo gani zaidi la mgonjwa mfano mashabiki wa mpira wanaopenda vilabu vyao hata kudiriki kujiua pindi timu zao zinapo fungwa na dalili mojawapo ni mtu kuwa na mhemko pindi unapoona comment ya mtu mwingine unaishia kusema wewe ni utopolo au utelembwe kwani kuwa utopolo fc (Yanga) au utelembwe fc ( simba) ni tatizo au kusoma taarifa za michezo ni tatizo? Tatizo lipo kwako uliezifanya timu hizi zikuingie moyoni kiasi kwamba hata uhai wako hauna thamani kama Simba au Yanga haitakuwepo. Je? Huko kuzimu utakapo enda utazikuta timu hizi? sana sana utawakuta mashabiki wenzako wa timu hizi waliokuwa wanazipenda kuliko kumpenda Mungu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huyu jamaa anaandika vitu gani? Umemuona nan humu kuwa anapenda timu yake kiasi hicho

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic