January 29, 2021

5 COMMENTS:

  1. Na atawaumiza na kila watapopandisha ghadhabu kwa kejli zake ndipo maafa yatapozidi. Analipiza kisasi kwa vile walipomfikiria ni babu jinga na kujaribu kumlazimisha aukubali mkataba feki

    ReplyDelete
  2. Sasamimi bodo sijaelewa anabusha au wameedit aundo muonekano wake

    ReplyDelete
  3. Hawajaedit bali ni namna alivyoweka mpira ndani ya bukta baada ya KUFUNGA goli juzi

    ReplyDelete
  4. Ni upuuzi mtupu, mtu wa kwanza kusema Morrison kwa kuwa anaumwa hernia ni Kassim Dewji, mjumbe wa Bodi ya Simba. Wengine walilichukulia hapo. Kama vijembe au viwiko apigwe Dewji na alisema hadarani.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Newly uko vizuri...hata hivyo hapo hiyo hela hairudi. Mmepigika

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic