KLABU Bora Afrika kwa sasa,viwango vinatokana na matokeo ya timu katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika kuanzia 2017 hadi 2021.
Kwa maana hiyo kuna uwezekano mkubwa pointi zinaweza kupanda ama kushuka msimu huu mazima ikiwa timu itaboronga pointi zitashuka ama itafanya vizuri hapo pointi zitaongezeka.
Rekodi zipo namna hii kwa zile zilizo ndani ya 20 bora, Tanzania ipo pia:-
1. Al Ahly SC, Misri ina pointi 53
2. Esperance de Tunis, Tunisia ina pointi 50
3. Wydad CA, Morocco, ina pointi 48.
4. Zamalek SC,Misri ina pointi 42.
5. TP Mazembe, Congo pointi 40.
6. RS Berkane, Morroco,pointi 38.5
7. Mamelodi Sundowns, Afrika Kusini, pointi 36.
8. Horoya AC, Guinea, pointi 33.
9. Etoile du Sahel,Tunisia, pointi 31.
10. Raja AC, Morocco,pointi 29.
11. Al Hilal, Sudan, pointi 21.
12. AS Vita Club, Congo, pointi 21
13. Hasannia Agadir,Morroco, pointi 18.
14. Pyramids FC,Misri,pointi 16.
15. 1° de Agosto,Angola, pointi 16.
16. Petro de Lianda, Angola, pointi 14.5.
17. Simba SC, Tanzania ina pointi 14
18. Al Masry, Misri pointi 14.
18. Enyimba FC,Nigeria 14.
20. USM Algiers, Algeria pointi 12.
samahani hawajaongelea nchi...Wameweka taarifa ya klabu...Kama una kinyongo timu yako haimo pole sana...
ReplyDeleteUlipaswa kuandika Simba ndani kwenye kichwa cha habari!Simba oyeee
Hawa hawatupendi tunawazidi vitendo
DeleteWeye
ReplyDeleteMakanjanja wa Utopolo. Simba ikifanya vizuri ni Tanzania. Ikifungwa ni Simba .Ingekuwa Utopolo zingeandikwa makala 10 mbali mbali.Roho ya kwanini kwa hawa makanjanja inawatesa wao wenyewe.
ReplyDeleteBig up simba kwa kupeperusha vyema bendera ya Tanzania. Unastahili mnyama, you really deserve
ReplyDeleteNaomba kuwasilisha
Good team at all
DeleteNyauuuuuuuu
ReplyDeleteMabingwa wa midomoni...kihistoria mapinduzi..
ReplyDeletekuna kombe lingine la mabingwa kuanzia jtano.mabingwa kumbe hata kwenye list ya mabingwa hawamo
Kwenye hili kweli Yanga tumezibwa midomo Hatuna cha kusema.
ReplyDeleteUtopolo wanatia huruma ndo maana wanavaliashwa pempasi, kazi kuongea tu uwanjani zero
ReplyDeletekinachohitajika ni mapambano zaidi na si kuwaza comment za wadogo zetu utopolo
ReplyDeleteCha msingi ni kufikiria michuano ya club Africa champion ijayo na sio kubweteka ili kujiweka kwenye record nzuri zaidi.
ReplyDeleteHizo taarifa si sahihi,au chanzo cha taarifa kinawalaakini. Kwamujibu wa taarifa sahihi za viwango vya ubora wa soka kwa ngazi ya vilabu barani afrika kwa mwezi Desemba 2020, Simba ilikuwa nafasi ya 232 na Yanga ilikuwa nafasi ya 375.kwa taarfa sahihi ingia google ,achana na mitandao ya kijamii inayoripoti habari za ushabiki.
ReplyDeleteYanga badooo xanaaaa
DeleteBig up to Simbaaaa,,,Nguvu mojaa💪🏾
ReplyDeleteKwa taarifa kutoka African football database ya tarehe 17/01/2021 iliyotoa viwango vya ubora wa soka africa ngazi ya vilabu Simba sports club ya Tanzania ipo nafasi ya 269 na Dar Young Africa ipo nafasi ya 377. Hiyo ndiyo taarifa sahihi kutoka caf africa football database.ipo wazi kwa mtu yoyote kupata taarifa yoyote ya soka barani africa.Acheni ushabiki, someni mpate kujua taarifa za vilabu vyenu.
ReplyDeleteYanga watawakilisha kwenye sauti za busara zanzibar
ReplyDeleteMotooo
ReplyDeleteSimba Oyeeeh , hadi top 3 tutafika tuu. Endeleeni kupambana Vijana, wa Tanzania, tunawaamini.!
ReplyDeleteSimba nguvu moja
ReplyDeleteI belief that one day simba fc will overtake first position in Africa
ReplyDelete