LIGI Kuu ya Wanawake Tanzania imezidi kuwa na ushindani mkubwa ndani ya uwanja kwa kila timu kusaka ushindi.
20- Fatuma Mustapha (JKT Queens)
20 Oppah Clement (Simba Queens)
15 - Aisha Khamis (Yanga Princess)
13 - Aisha Juma (Alliance Girls)
10 - Amina Ramadhan (Ruvuma)
Hawa hapa wametupia mabao 9:-
Jamila Rajabu (Baobab)
Hasnath Linus (Tanzanite)
Khadija Petro (TSC)
Hawa mwendo wa 8:-
Mwanahamisi Omari (Simba)
Shelda Boniphace (Simba Queens)
7- Aidath Zembindezi (Ruvuma)
Wanayo 6 kibindoni
Agnes Pallangyo (Tanzanite)
Stumai Abdallah (JKT)
Ni 5 kama 5
Donisia Minja (JKT)
Grace Yusuph (Yanga Princess)
Kadosho Shaban (Simba Queens)
Amina Ally (Yanga Princess)
Philomena Daniel ( Yanga Princess)
Twende na 4
Aliya Fikiri (Alliance)
Rehema Mohamed (Mlandizi)
Isabela John (JKT)
Mwendo wa 3
Jackline Shija (JKT)
Nansibo Wako (Alliance)
Aniela Uwimana (Yanga Princess)
Emiliana Mdimu (Yanga Princess)
Asha Japhari (Simba Queens)
Wana 2
Diana Lucas (Ruvuma)
Ester Daniel (Alliance)
Clara Luvanda (Mapinduzi)
Fatuma Bushiri (Yanga Princess)
Mariana Kenneth (Ruvuma)
Enekia Kasonga (Ruvuma)
Janeth Matulanga (Mlandizi)
Shehat Juma (Mlandizi)
Omita Bertha (Simba Queens)
Harieth Kulwa (Tanzanite)
Annastazia Katunzi (JKT)
Josephine Julius (Baobab)
Moja kibindoni
Dotto Evarist, Jackline Albert, Dorothy, Joel Bukuru (Simba Queens)
Christina Daud, Winifrida Maketa (Ruvuma)
Zainabu Dudu (Mlandizi)
Diana Mlawa, Noela Luhara, Nasra Abdallah (Mapinduzi)
Mwantumu Ramadhani, Happy Mwaipaja, Fatuma Mwisendi, Irine Kisisa, Tabea Aidano (Yanga)
Anitha Bahanzika, Sharifa Salum (Unyanyembe)
Diana Mnaly, Mgani Ramadhan, Rehema Abdul, Martha John, Rehema John, Zuhura Shahabu, Annastazia Damian (Baobab)
Joyce Lema, Maria Elia, Madelene Otieno, Anna Hebron (Tanzanite)
Zainab Mrisho (TSC)
Happy Mroni (Sisterz)
Linda Najara (Alliance)
Mwamvua Seif (JKT)
0 COMMENTS:
Post a Comment