KLABU ya soka ya Yanga imezindua rasmi kalenda yake ya mwaka 2021.
Taarifa rasmi ya Yanga imeeleza: "Kalenda ya timu ya wananchi tayari imeshatoka na inapatikana kwa bei ya shillingi 5,000 Makao makuu yetu mtaa wa Twiga/Jangwani na Maduka yote ya GSM.
"Mwananchi pata nakala yako Sasa ili utambe na Kalenda yako,"
safi sema ujanja usiwepo
ReplyDeleteNani siku hizi anaangalia kalenda labda zikagaiwe kwenye shule za vijijini
ReplyDeleteSawa, inaweza ikawa ni kweli haiangaliwi lakin inatumika kama pambo tu. Kw mfano, mbona saa siku hiz hazina kazi, lakin watu wanavaa tu Kama pambo, akitaka kujua muda anaangalia kwenye simu
DeleteAcha wivu wewe paka fc
ReplyDeleteSawa nyani aka tumbili
DeletePelekeni Kintinku huko labda watanunua
ReplyDeleteShida ile ile athari za viroba na bangi haziishagi Sasa wewe mbumbu wa Rage Kalenda umelengwa wewe?tutanunua tumeipenda wenyewe Tena mie nanunua 10
ReplyDeleteHata mimi nitakwenda kununua kadhaa... achana na watu wachovu na wenye wivu... mikia aka paka mweusi
ReplyDeleteIli biashara ifanikiwe unatakiwa kusoma mazingira yaani ufanye environmental scanning.Kalenda bado zinahitajika kwa kiasi kikubwa kwenye karne hii ya sayansi na teknolojia? Simu 90% zina kalenda na saa ndio maana hata wavaaji wa SAA za mkononi wamepungua. Tutaomba tu mrejesho zimeuzwa ngapi.
ReplyDeleteSENZO kawaingiza chaka
ReplyDeleteAma kwel mwaka huu yanga amekua msaad mkubwa kwa simba,,,,, alianza kutengeneza jezi zeny raman ya afrika il smba iitumie kusafr kwend kmataifa, sahv wametengeneza kalenda il simba waitumie wasije kusahau ratiba ya mechi zao kmataifa!!! Hongera yanga!
ReplyDelete