January 7, 2021

 


Hii hapa miamba iliyotinga hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Barani Afrika 20/21

1.Zamalek (Misri) 

2.Mamelodi Sundowns (Afrika Kusini)

3.Kaizer Chiefs (Afrika Kusini)

4.Al Ahly (Misri) 

5.Teungueth FC (Senegal)

6.CR Belouizdad (Algeria) 

7.TP Mazembe (DR Congo)

8.MC Alger (Algeria)

9.Espérance Tunis (Tunisia) 

10.Simba SC (Tanzania )

11.Al Merrikh SC (Sudani)

12.As Vita Club (DR Congo)

13.Al Hilal Cl (Sudani)

14.Wydad AC (Morocco)

15 .Horoya AC (Guinea)

16.Petro Atletico (Angola)

4 COMMENTS:

  1. Hongera sana mnyama kwa kuwepo ktk orodha huu, hakika mnastahili!!! Wachezaji wameonyesha ukomavu sana. Me ni Yanga lkn kwa hatua hii nisiwe mnafiki, nyi ni miamba bwana

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nimeipenda comment yako Super Matimila; Ukiangalia Afrika Kusini, Sudan, Algeria, Misri na Dr, Congo kila nchi tajwa zimeingiza timu mbili hatua ya makundi. Natamani Tanzania tuingize timu 2 ktk hatua ya makundi miaka ijayo.

      Delete
  2. kumbuka hizo timu za nchi 11 tu afrika. maana yake zaid ya nchi 40 tupa kuleeee.so mchezo kuingia 16 bora.mnyamaaaaaa!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  3. 13- Al hilal ya Sudan, si walitolewa na Namungo au majina yanafanana?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic