February 25, 2021

NAMUNGO iko uwanjani katika dimba la Azam Complex, Chamazi kucheza mchezo wao wa marudiano wa mtoano kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Clube Desportuvo 1º de Agosto. Hili hapa jeshi la Namungo



Ikumbukwe kuwa Namungo katika mchezo wa kwanza walipata ushindi wa mabao 6-2 mchezo uliopigwa Februari 21, kwenye Uwanja wa Azam Complex Chamazi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic