February 4, 2021

 


LEO Februari 4, 2021 viwanja viwili vitakuwa na kazi ya kuhimili vishindo vya Wanaume 44 ambapo kila kiwanja kitakuwa na kazi ya kuhimili vishindo  vya Wanaume 22.


Mechi mbili za Ligi Kuu Bara zinatarajiwa kuchezwa ambapo zote ni viporo vya mzunguko wa Kwanza, itakuwa namna hii:-


KMC itawakaribisha Namungo FC,  Uwanja wa Uhuru.


Dodoma Jiji FC itawakaribisha Simba, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. 

2 COMMENTS:

  1. daa hz taarifa nusunusu unalazimika tena kutafuta kwingine,,,mechi saa ngapi HAKUNA daaa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ndo ujiongezee wakati unajua viwanja vyenye mataa ni viwili kama kunatm mojawapo inachezeaga taifa au chamazi ungohoji

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic