WAKATI leo Februari 4 mechi mbili zikitarajiwa kuchezwa ambazo ni za viporo vya mzunguko wa kwanza kuna ushindani pia Kwenye upande wa utupiaji wa mabao.
Kinara kwa sasa ni nahodha wa Simba, John Bocco ambaye ametupia jumla ya mabao 8 kwa msimu wa 2020/21.
Mbali na kutupia mabao hayo pia ana pasi mbili za mabao na ana mpira wake mmoja kabatini baada ya kufunga hat trick mbele ya Coastal Union ya Tanga.
Hii hapa orodha ya watupiaji Bongo
Utopolo hawamo? Duuh kweli ni UTOPOLO
ReplyDelete