February 18, 2021


 MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba leo wana kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Biashara United, Wanajeshi wa mpakani, Uwanja wa Karume, Mara.

Kwa mujibu wa Spoti Xtra Alhamisi hiki hapa kikosi cha Simba kinachotarajiwa kuanza chini ya Didier Gomse:-

Aishi Manula

Shomari Kapombe

Mohamed Hussein

Kened Juma

Pascal Wawa

Thadeo Lwanga

Clatous Chama

Meddie Kagere

Rarry Bwalya

Bernard Morrison

Luis Miquissone

6 COMMENTS:

  1. Hao akina kennedy na Bwalya si waluaema wamebaki congo, sasa wewe unaotea wanaanza vipi, au sikuelewa ile taarifa ya jana ya manara?

    ReplyDelete
  2. Jitahidi kuwa na uhakika na unachoandika kwani sisi wafuatiliaji wako tuko makini na timu yetu na tunajua kinachoendelea hivyo hatudanganyiki hovyo kama unavyo tarajia.

    ReplyDelete
  3. Ameandika kikosi kinachotarajiwa kuanza na wala si kikosi kilichotangazwa na benchi la ufundi

    ReplyDelete
  4. mbona timu yako iliyocheza jana haukuweka kikosi kinachotarajiwa

    ReplyDelete
  5. Anataka watu waanze kuweka midumari mapenaaa

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic