LEO Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu Cedric Kaze ina kazi ya kusaka ushindi mbele ya kikosi cha Kengold ya Mbeya, Uwanja wa Uhuru.
mchezo huo ni wa hatua ya 32 bora ambapo atakayepoteza anafungashiwa virago mazima ndani ya Kombe la Shirikisho linalotetewa na watani zao wa jadi Simba.
Hiki hapa kikosi cha Yanga kinachotarajiwa kuwanza leo Uwanja wa Uhuru namna hii:- Faroukh Shikalo
Shomari Kibwana
Yassin Mustapha
Lamine Moro
Bakari Mwamnyeto
Farid Mussa
Tuisila Kisida
Feisal Salum
Wazir Junior
Deus Kaseke
Ditram Nchimbi
Kikosi cha kwanza kama vile wanakeenda kupambana na Al Ahli au Vita
ReplyDeleteKwani jana mlichezesha Simba Queens?Kikosi kilichocheza jana ndo kikosi kilichotumika hadi kuipa Simba ubingwa wa ligi msimu uliopita halafu leo unaweletea dharau wachezaji walioifanya Simba iwepo hapo ilipo.Acha dharau!!!
DeleteMashangaa, timu ndogo unaipangia kikosi cha kwanza?
ReplyDeleteHawana wengine sasa wampange nani
ReplyDeleteNyie nguruwe fc acha kukalili subiri kikosi kitoke na siyo kubuni buni mambo hapa makuma nyie
ReplyDeleteNachukia sana jitu linalotukana kila mara. Wewe mama yako ana nini? Uwe na adabu bwana.
ReplyDeleteHilo choko we ukiona jitu linatukana hovyo hovyo ujue Hilo punga
ReplyDelete